Watch CARIS official trailer here From‎ Morning Star in England group

Wakali wa filamu za kiswahili NchiniUingereza  Morning Star in England  Baada ya kimya cha muda mrefu sasa wamekuja upya na filamu mpya ya CARIS  Nilipoongea na kiongozi wao alisema sasa kazi imeanza hana mengi ya kuongea ila mashabiki wakae mkao wa kula ,kwani CARIS FILM ni moto wa kuotea mbali ,

1292989_352155494918563_1050572679_o

hayo ni maneno ya Director basi wewe shabiki wa filamu tazama trailer na utupe maoni yako

1272759_352155364918576_31926574_o

10013179_453559528111492_3872034823857113149_n

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!

Hizi ndio Gospel song kutoka kwa Christine Scherrer Dady Gal

Christine Scherrer Dady Gal  Ni mwanamuziki mpya wa muziki wa Injili anaeishi swizerland lakini asili yake ni Kenya , si tu kuimba bali pia anasambaza Injili ya Yesu Kristo kwa njia mbalimbali , mpaka sasa ameshatoa nyimbo zake Tatu na katika nyimbo izo ansema kuwa mengi aliyoimba yamemtokea katika maisha yake na kuguswa na kuamua kumtumikia Mungu hasa kwa sifa na kwa kutoa ushuuda wake wa maisha yake kwa leo tunakuletea nyimbo hizo zitakazokugusa  na siku zijazo tutakuletea interview ya muimbaji huyu kujua mengi kuusu ushuuda wa maisha yake .

10592636_10201723237843142_7250905563836233322_n   10605999_10201740459193665_6159973825612316109_n

Bonyeaza hapo chini kusikilizanyimbo hizo

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!