Msanii Ally Dex Lulenda Aja Na Filamu Yake Ya Mwisho “Chaguo Langu”.

Msanii wa filamu za kiswahili nchini Denmark Ally Dex Lulenda wa kampuni ya T.A.O Films anakuja na filamu yake mpya iitwayo Chaguo Langu. Hata hivyo amesema ni filamu yake ya mwisho kufanya kutokana na mambo mengine kumbana ataachana kwanza na mambo ya filamu. Akizungumza na Swahiliworldplanet, msanii huyo alisema…..

 

10708760_731454293610355_479150414488032147_o

“Nimeamua kuja na filamu yangu mpya hii ndio filamu yangu ya mwanzo na mwisho,nimeamua ku-stop na mambo ya filamu kwasababu nina kazi nyingine ninazofanya kwasasa, sikwamba nimechoka na mambo ya filamu bali nimeamua iwe hivyo.
kuanzia mwaka 2011 hadi sasa nimefikia kutengeneza filamu 12, nimevumbua na kukuza vipaji vya wasanii wangi tu hapa Denmark na shemu nyingine Europe .

Na filamu hii ni filamu ambayo inahusu mila na ndisturi za kiafrika.
ni stori inayohusu kijana wa kicongo kuoa msichana wa kinyarwanda, lakini familia ya mvulana haikupenda kijana wao aoe msichana wa kinyarwanda. lakini mvulana aliamua kumuoa msichana huyo bila kujali familia yake na kabila ya msichana. Mvulana alitengwa kwao na baada ya miezi mitatu msichana akajifugua mtoto wa kiume, lakini msichana akafariki na mtoto akabaki duniani. Mvulana akaamua kwenda na mtoto wake nyumbani wazazi wake walipo, swali kwa wazazi wake ikawa ni je mtoto huuyo ataitwa mcongomani au mnyarwanda. Jina la filamu ni “Chaguo Langu”

 

10403031_731454620276989_1396265958714119688_n 9752_731454793610305_4485266697310755375_n 10623545_731454483610336_2215750310807258028_o 10580111_731454383610346_3872451650098656187_n(1) 10403031_731454620276989_1396265958714119688_n

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Swahiliworldplanet,

Tupe maoni yako hapo Chini..!!

 

Muimbaji The black brah kupiga show Moja na Ommy Dimpozi Holland

Mwanamziki anaekuja kwa kasi The black mwenye makazi yake Holland , ameconfirm kwamba ataperform stage moja na mkali Ommy Dimpozi  Kutoka Tanzania , na kuwataka mashabiki wake wajitokeze kwa wingi ili kuona atakavyofanya vitu vyake stejini siku hiyo , anauni ya ukumbi pamoja na kiingilio vinaonekana hapo chini .

10575149_861075363916205_1009786849432105346_o

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!