Actor Bigg jj Olenga Aja na NO FEAR Film akishirikisha mastaa kutoka ghana angalia hapa trela

Muigizaji na  Mkurugenzi wa kampuni ya filamu ya  Big jj  ,kutoka Denmark  Big JJ Olenga Aja  na filamu mpya akimshirikisha Muigizaji   star kutoka ghana  ARTUS  . Hikindicho alichokisema Big  JJ baada ya mashabiki kukubali kazi hiyo .

10523212_701286866586882_5704946074814724300_n
Actor Big JJ and Artus
324691_250272421688331_819963892_o
Big JJ

 

NO FEAR its the best movie that took us more than 2years to finish it,and now we start working on promotion and i believe that this film is going to hit .for more information about bigjj film production, now we are working on the big project 1story will take 1 to 2 years to finish it,so in shot we are not able to work with people who want us to finish they  are movies in 1 to 2 weeks10683432_719745244741044_3752147326822724505_o 

 

10481933_719745231407712_9158947491068317358_o

Behind the scene  NO FEAR FILM

Filamu hiyo iliyochezwa nchini  DENMARK  na GHANA ni  moto wa kuotea mbali  , Angalia hapo chini  trela ya filamu hiyo ya NO FEAR:

10392545_733935406655361_3236195825535660401_n

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

POSTED BY : Hamm Chande

Tupe maoni yako hapo Chini..!!

Geofrey McLaughlin Kupiga show matata kwenye Tanzania independence day Copenhagen

Upcoming Musician Geofrey McLaughlin mwenye makazi yake Denmark , amethibitisha kuwa ataperform mweziujao mjini Copenhagen  kwa maelezo zaidi jinsi ya kufika katika party hiyo  angalia posters hapo chini na burudika kwa kusikiliza  nyimbo zake hapo chini

 

11619_10204282868925588_5249869148420240383_n

Summer love  song below

https://www.youtube.com/watch?v=9UH38JFVf0o

https://www.youtube.com/watch?v=FaLsSDqxB28

wanyatu wanyatu music
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

POSTED BY : Hamm Chande