Tazama walichokifanya Abou na Lucy Komba kwenye African boy

Kiukweli mi sio mtu wa kupaka mafuta watu au kusifia sifia kwa uongo,ila  naweza kusifia alafu nikamfata mtu inbox nikamwambia makosa yoooote  ya kwenye movie yake.ila hii  trailer ya African boy ni balaa sana.yaani Abou na Lucy Komba wamefanya kweli.

1266113_349528208525724_1157621562_ohizi ndio casting za movie hii ya African Boy

“Kama mimi ni muigizaji hapa ulaya basi yaani bora nisifanye filamu mwaka mzima nikafanya moja kwa mwaka kama hii aisee
nimependa zaidi rangi yaani quality na location aisee ndio balaa

ukija shooting ,editing na voice over ambazo movie inaanza anaelezea da kama holywood  kweli  hiyo movie yenyewe itakuwa balaa, nafikiri watengeneza filamu ulaya wamepata mfano wa kuiga sasa na si kukulupuka  ” ALISEMA SHABIKI WA MOVIE HIYO BAADA YAKUCHEKI TRAILER YA AFRICAN BOY.

1551681_422957367849474_1408049178_nAbou Twaleb akiwa na cameraman na Editor wake Denmark

Twaleb Entertainment  inayomilikiwa na Mtanzania Abou Hermis Twaleb anayeishi Copenhagen Denmark   . kwa mara ya kwanza  imetoa teaser ya movie ambayo kwa sasa imeshakamilika hatua zote   kilichobaki ni hatua za mwisho tu kuingia sokoni, angalia picha za wasanii walioshiriki na trela ya movie hiyo inayotazamwa na mamia ya watu kutokana kuwa na ubora wa hali ya juu.

1529991_266901860135181_812914892_oLucy Komba

912520_392687224209822_978678843_nAbou Twaleb mkurugenzi na muigizaji

1458715_392684520876759_15882465_nJean claud na Rachel Scarp ambaye ni Muigizaji na Muimbaji wa nyimbo za Injili

bonyeza link kuangalia trailer ya Afican boy

http://www.youtube.com/watch?v=fxuWCNay6EY

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more