Angalia hapa kwa mara ya kwanza nyimbo ya injili ya kumana kutoka kwa Miriam Wazwa na Clovis Makola

Sr Miriam WAZWA feat Clovis MAKOLA ” KUMAMA” (Official Clip HD)by Marc JACOB PROD
10644868_712498265507715_1294112756438122339_n
Muimbaji Miriam Wazwa

KUMANA ni nyimbo ya kwanza kutoka kwa mwanadada Mrembo Miriam Wazwa   inayomaanisha –Usifiwe Mungu   hii ni Video yake ya kwanza ambaye licha ya kuimba vizuri kwa kumsifu Mungu lakini Video hio aliofanya chini ya Production ya hali ya juu iliyoko Ufaransa  JACOB Production ,hivyo   inawafanya watu wengi kuvutiwa na nyimbo hiyo

10408498_709399055817636_7132788304068350104_n

Kwa kifupi mwanadada huyu Mrembo makazi yake halisi ni Copenhagen Denmark na huu sio wimbo wake wa kwanza amesharekodi nyimbo nyingi za kumsifu Mungu ila hii ni Moja wapo tu alioifanyia Video , basi ili kuendelea kumsifu Mungu akangalia Video hii na wewe ili ubarikiwe , tukipata Muda tutakuletea Mengi kuusu Mariam na kazi yake ya nyimbo za injiri

10642653_10202467620200962_1702610524_o(1)
Muimbaji Clovis Makola

Bonyeza hapa kuangalia wimbo kamili

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!