All posts by swahili movies.com

VAD Film production waja na filamu mpya , FILAM ZAO SASA WAWEZA TAZAMA CONGO VIDS

Habari njema kwa wapenzi na mashabiki wa VAD FILM PRODUCTION ;Muda mwingi mmekuwa mkiuliza kwa nyinyi mliombali je mtaweza kununua vipi filamu za Vad au kuweza kuangalia sasa basi VAD Ikishirikiana na CONGOVIDS Imewaletea njia rahisi ya kuweza kuangalia filamu zote kutoka Vad

NA Kutoka kwa wasanii wengine bila kusumbuka na kwa bei rahisi unachotakiwa kufanya ni kujisajiri kwenye website ya CONGOVIDS na kulipia kwa bei ndogo kila mwezi na utaweza kuona kila filamu mpya inayotoka VAD na inayotoka kwa wasanii wengine wacongo na wengineo usichelewe ingia kwa website ya CONGOVIDS :

SASA NA UWEZE KUJIONEA FILAMU MPYA NYINGI NA NZURI KAMA FILAMU YA QUEEN ILIOSHIRIKISHA WAsanii wenye vipaji KUTOKA CONGO NA TANZANIA KAMA LUCYKOMBA , CLARICE SAFI, SELEMBE TOKO NA BLACK Unajua wamafanya bninui humo basi jisajili sasa CONGOVIDS UWEZE KUPATA UHONDO KAMILI TOKA KWA WAKALI HAWA WA DIASPORA

http://www.congofilmfoundation.com/.

CongoVIDS is an online distribution platform for mainly Congolese films and foreigners

The platform provides access to a wide variety of TV Shows, Films, documentaries on a bunch of different devices

The Titles are purchased by a limited time rental or monthly subscription by the general public.

The main purpose of this platform is to increase visibility of and access to Congolese and foreigners independent film and video and will expose thousands of works to new audiences around the Globe.

We hope that it will generate revenue for artists and we will continue to pay out Artist fees for any sales or rentals generated by the platform on a percentage split.

We Invite all Congolese filmmakers to join this wonderful platform that give us expose our works, talent and as well generate revenue for more productions. Helping CongoVids is helping your selves too. Let all be generous and watch teacher her movie fr the price of less than a coffee. If you Love your culture you will Love Congovids.
JISIKIYE HURU mubadirisha: Will not believe this! 2 years the team of CONCOVIDS and the V.A.D FLMS PRODUCTION we saying that some days the wolrd will start to watch Congolese content on any type of devices. This was just lie dream , even among ourselves we were not quiet sure if this would be possible. BUT GUESS WHATt? We made it. .

Few Weeks ago We launched congoVids and now we have almost 400 Subscribers Who watch te paid and free Congolese contents

every days and the overage view per days for each movie is 8.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

BREAKING NEWS: BABU SEYA ACHIWA HURU NA RAIS MAGUFULI

Yametimia katika sherehe za Uhuru 2017. Katiba ya JMT Ibara ya 45 yatumika.
Karibuni kwa maoni

Rais John Magufuli akiwa kwenye kilele cha miaka 56 ya Uhuru amesemehe wafungwa 63 waliohukumiwa kwa vifungo mbalimbali na kunyongwa.

Miongoni mwa waliosamehewa ni wanamuziki Nguza Viking Alias maarufu Kama Babu Seya na Johnson Nguza(Papii Kocha) ambao walihukumiwa kifungo Cha maisha gerezeni kwa kosa la kubaka na kulawiti watoto 10 mwaka 2003 na kuhukumiwa Juni 25, 2004.

Pia Rais Magufuli amemsamehe mzee Matonya mwenye miaka 85 ambae alihukumiwa kunyongwa na ameshakaa miaka 37 baada ya hukumu na miaka Saba mahabusu.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX