Baada ya Diamond kuonyesha Tatoo yake Geofrey McLaughlin naye aonyesha tatoo zake.Angalia hapa

Msanii chipukizi Geofrey McLaughlin  anayefanya vizuri kwa kurap nchini Denmark Geofrey McLaughlin a.k.a  G A Mc  MTOTO WA SINGIDA baada ya kushirikishwa kwenye nyimbo ya Th e black – nilivyokupenda  sasa ameingia studio tayari anapika nyimbo yake mpya itakayokwenda kwa jina la SUMMER LOVE anawataka mashabiki wake wakae mkao wa kula .

DIAMOND

Diamond akionyesha tatoo yake mkononi

Na alipoulizwa kuhusu tatooo zake ambayo moja inafanana na Tatoo ya Diamond  alisema kuwa

Tatoo zangu hazifanani na Daimond hata kidogo japo nae ana tatoo mikononi kama mimi lakini mimi si mikononi tu zipo nyingine sehemu nyingine  jumla nina  tatoo tisa  na hizi sio za urembo maana  zote zina maana zake kwa leo nisingependa kuziongelea niko busy .

1012568_10202797759558782_3088842322734911626_n(2)Geofrey  akionyesha tatoo yake

10247363_10202794305792440_8553632189957351131_n(1)Geofrey akiwa studio kwa ajiri ya nyimbo mpya

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more