BABA MZAZI WA DIAMOND AZIDI KUMSHANGAA MWANAE KWA KUMTENGA, SOMA ALICHOKISEMA HAPA.

BABA wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Jumaa amefunguka kuwa mwanaye huyo siyo riziki yake kwani hana dalili zozote za kumjali kama mzazi.

DIAMOND DIAMOND

Akistorisha na gazeti hili, mzee huyo alisema kwa sasa hataki kumzungumzia kabisa Diamond kwa sababu alishamtumia ujumbe kwamba anatakiwa kubaki kama baba tu na si vinginevyo.

BABADIAMOND3BABA YAKE DIAMOND

“Sitaki kumzungumzia Diamond kabisa kwa sababu nitaonekana najipendekeza kwake kwa sababu ameshasema nibaki kama baba tu, naona siyo riziki yangu,” alisema baba Diamond.
Alipoulizwa Diamond kuhusiana na maelewano hafifu na baba yake, alijibu: “no comment.”

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more