Producer na muigizaji BIG JJ OLENGA
Filamu kali ya THE REDD inaingia sokoni SOON hakikisha unanunua nakala yako halisi. ni fiamu mpya na yenye ubora wa hali ya juu kutoka kwa yule yule Director Mkali wa Denmark na Scandinavia kwa ujumla BIG JJ OLENGA na filamu hii imetengenezwa nchini GHANA akiwa kama producer ambako ndiko ana kundi jipya la filamu THE REDD ni moto wa kuotea mbali stay tune trailer is coming soon
Producer by BIGJJ FILM PRO the trailer is coming soon, kama utaitaji trailer wasiliana na
Big jj film pro
Filamu mpya ya The REDD iliyotengenezwa na BIG JJ