Category Archives: europe

Mkali wa BONGOFREVA ULAYA Zblack Braah AJA NA MONIKA

baada ya msanii Zblack Braah kuachia ngoma ilio enda kwajina Fanya kama unainama alio mshirikisha t max Sasa yupo jijini London kwajili ya shooting ya wimbo wake mpya ulio kwenda kwajina la monica!

ZBLACK AMEWAANDIKIA HIVI MASHABIKI WAKE

Hello #East Africa Trailer ya Nyimbo yangu mpya Nilio ipa jina la #Monica# Tiari ipo online, Official Nyimbo nzima ita kuwa hewani Tarehe 1/01/2018 Hivyo basi, muikaee mkao wa kula. Maana Tarehe 1 ndio itakua siku rasmi ya ku iachia ngoma yangu. Na ningeli penda ndugu, jamaa na marafiki muwe tayari kwa kuipokea kazi yangu. Maana nita iweka katika platforms zote kama YouTube SUBSCRIBE KWENYE CHANELI YANGU YOUTUBE KWA JINA LA zblackBraahofficial AU BONYEZA LINK HAPO CHINI , Pia waweza nitafuta Instagram, Facebook, Twitter, na sehem zingine tofauti na msisahau ku subscribe YouTube channel yangu ili uwe wa kwanza kuisikia kazi yangu mpyaa

Kama wa semavyo uhondo wa ngoma ingia kati uicheze na uzinduzi wa #Monica ni maajabu ya ZBLACK #BRAAH
Produced#Sweseka production#Directed#Mdm Youvip

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Alikiba Amzungumzia Mange Kimambi

Alikiba ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake wa ‘Seduce me’ amefunguka na kusema kuwa Tanzania kila mtu ana haki na uhuru wake hivyo hata yeye anajisikia vizuri kuona watu maarufu wanapenda kazi zake na kudai ana haki ya kupendwa na Mange Kimambi

Alikiba amedai kuwa Mange Kimambi ni moja kati ya mashabiki zake na kusema anashukuru sana kuona anapenda kazi zake na kumpa nguvu katika kazi zake hizo kwa kutoa ‘support’.

“Ni kama shabiki wangu na ‘appreciate’ anapenda muziki wangu kwa sababu mimi namuheshimu kila mtu ambaye kwa namna moja au nyingine anani ‘support’ kwenye kazi zangu lakini pia kutokana na uhuru hivyo kila mtu ana haki na vilevile mimi nina haki ya kupendwa na mtu yoyote yule, hivyo nina haki ya kupendwa na Mange Kimambi pia” alisema Alikiba

Mbali na hilo Alikiba alisema anajisikia vizuri kuona muziki wake unazidi kufika mbali zaidi duniani na kuendelea kufanya vizuri nyumbani Tanzania na Afrika Mashariki kiujumla.

“Najisikia furaha zaidi pale napoona watu wanaojulikana na maarufu nao wanafurahi na muziki wangu na si kusikia muziki tu bali ni mashabiki wangu pia, hivyo kwangu mimi ni raha sana, nawapenda sana mashabiki zangu wote duniani kwani nyinyi mnanipa furaha na amani” alisema Alikiba

“”””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””