Category Archives: music

HARUSI YASHILOLE YAFANA , YAUZURIWA MASTAA KIBAO WENGINE KUTOKA ULAYA


Hakika shilole ni mtu wa watu , jana KWENYE Harusi yake ilidhiirisha hiyo baada ya ma
kummiminia mazawadi.

Katika harusi hiyo iliyohudhuriwa na mastaa kibao wakiwemo wa Bongo Fleva na Bongo Movies, Couple ya Jux na Vanessa BABU TALE ; Dogo janja na uwoya , Diamond platnumz na wasafi kwa ujumla , jokate, lakini DJ Maarufu kutoka holland DJ Hatib Must ALIKUEPO NA mbunifu wa mavazi anayeishi ufaransa Kash Mlenzi Lassalle wote walipata chance ya kumpongeza msanii huyo walipata fursa ya kutoa nasaha na kumpongeza Shilole kwa kufunga ndoa pia wakimpongeza Uchebe kwa kumpata mke aliye bora na kummiminia zawadi za kutosha





xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx






https://www.youtube.com/watch?v=dHB_WTuqKq8

https://www.youtube.com/watch?v=DpV3RdvFZrM

Kutana na mmoja wa Director anaefanya vizuri ulaya Mdm youvip

kwa majina anaitwa Père Jeune Mdm ni mcongo anaeishi Austalia na uk na anafanyya kazi mbalimbali za media kama kutunga filamu , comedy , kuigiza , directing , shooting pia kurekodi filamu , tamthilia , harusi , birthday , party, na hata kuandaa party mbalimbali,

Toka ameanza kazi zake ameshafanya kazi na wasanii na watu wengi barani ulaya na hizi ni baadhi ya kazi zake-Book your Wedding Video, Music Video, Films, Birthday Party, Anniversary , Conferences here +447548097673












hizi ni baadhi ya kazi subscribe kwenye channel yake youtube ili kuona kazi nyingi zaidi mtafute youtube kwa majina haya

youvipofficial na mdm youvip kama unataka apointment kufanya nae kazi Book your Wedding Video, Music Video, Films, Birthday Party, Anniversary , Conferences here +447548097673.

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx




https://www.youtube.com/watch?v=cozOiriM3Ss&t=1s