Dada Bibiye Mama Afrika Afiwa na dada yake nchini ujerumani

Wengi wanamfahamu kama Dada Bibiye au Mama AFrika kwa staili ya mavazi yake na kazi yake kubwa ya Upromota nchini Ujerumani, mwenye asili ya Tanzania , Leo mchana ameandika kwa majonzi katika mtandao wake wa kijamii

kuwa dada yake mpendwa amefariki .Dada yake huyo aliekuwa mgonjwa kwa kipindisasa baada ya kujitahidi kwa juhudi zote za matibabu na Maombi lakini Mungu ameamua kumchukua kwani Bwana ametoa na bwana ametwaa japo kwetu binadamu ni majonzi ya hali ya juu.DADA bibiye aliandika haya yafuatyo katika ukurasa wake wa kujamii

1397971_10201204463461845_167499165_o
DADA bibiye akiwa kwenye majonzi makubwa kumpoteza dada yake

It is with great sorrow to inform all our friends and relatives that we lost our dearest sister Tina on 18-07 2014  who succumbed to cancer .she gallantly foughty in  SIMMERN/ HUNSRÜCK GERMANY
TINA has left three kids and all her family members and friends will surely miss her  .The date and place of burial will be established in due courcse

Familia ya MLWILO WA UJERUMANI / HOLLAND  Tunasikitika kutangaza kifo cha dadayetu mpendwa TINA  MLWILO kilichotokea hapa Ujerumani   TAREHE 18.07.2014 SIMMERN/ HUNSRÜCK. TINA ameacha watoto watatu , familia na marafiki tutaendelea kumkumbuka kwa upendo na ukarimu wake  . TUTAENDELEA KUWATAHARIFU MUDA NA SIKU YA MAZISHI.

IN LIEBE UND GEDANKEN WIR TRAUERN AN UNSER BELIEBTE SCHWESTER TINA MLWILO.
GEBOREN: 6.11.1974
GESTORBEN: 18.7.2014

Swahili movies inampa pole sana dada bibiye na familia yote katika kipindi hiki kigumu

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!

hjj