Geofrey McLaughlin aja na wimbo mpya Summer Love usikilize hapa kwa mara ya Kwanza

 

10580244_10203739211054481_1237436267100853472_n

Baada ya kufanya vizuri kwenye nyimbo alioshirikishwa na Msanii the black , sasa amekuja na nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la Summer Love si mwingine bali ni msanii Geofrey McLaughlin a.k.a G A MC.

429194_10150572885974181_1908400201_n

Geofrey McLaughlin

sikiliza wimbo huo ambao ni Audio na very soon tutakuwa na Interview kujua mengi ikiwa pamoja na video ya wimbo huu  itatoka lini

 

https://www.youtube.com/watch?v=9UH38JFVf0o&feature=youtu.be

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT : Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!