Hii ndio keki aliyopewa Muigizaji Sanura na Mtangazaji Maimartha Jesse. Tanzania

Akiongea kutokea Tanzania , muigizaji Sanura Jaffari au Senny Chada kama wengi wanavyomfahamu,mwenye makazi yake nchini Denmark , lakini amekwenda nchini Tanzania kwa ajili ya mapumziko na kutembelea familia yake ,

10898093_1534881696790628_672166505004102673_n

Hii ni moja ya keki aliyopewa SANURA Ilipopambwa na makeup juu :

Alisema kuwa amefurahishwa sana na kitendo ambacho rafiki yake mkubwa na wa mda mrefu alichomfanyia katika siku yake ya kuzaliwa , kwani hakutegemea kama angepokea keki ya aina yake ,katika siku yake hiyo ya kuzaliwa tarehe  31 December

1618148_1536089396669858_3426647420162966335_o
Sanura akiwa na Maimartha Jesse

Kwa kweli namshukuru sana rafiki yangu kipenzi ambaye pia ni mtangazaji Maarufu Tanzania , Maimartha wa Jesse kwa kunipa hii keki ambayo kama mnavyoiona ina makeup juu yake , hahahaha  nashukuru sana na Mungu aendeleze urafiki wetu na upendo daima  alimaliza muigizaji huyo ambaye mpaka sasa anangaa kwenye filamu yake moja aliyocheza ya NIMUAMINI NANI.

10841995_1534879626790835_367752554246342232_o

1908488_1534879340124197_5645727565582347798_n

Sanura akiselebuka na Familia yake baada ya kukata keki

1912450_1534879270124204_567089449834022634_n 10881555_1534879460124185_74795953984100881_n

Sanura akikata keki

10885031_1534879706790827_275055769580308586_n 10869603_1534879550124176_5607541959109718414_o f10896164_1534879403457524_8091262262625268002_o

Sanura akifurahia na familia yake

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!