BAADA YA IRENE JOHARI NAE ANUNUA MKOKO MPYA. BONYEZA HAPA KUCHEKI PICHA

Actress maarufu wa filamu nchini Blandina Chagula(Johari) amevuta mkoko(gari) jipya aina ya Mark X ambapo thamani yake inasemekana kuwa zaidi ya Tsh. 25.

nn Johari akiwa na mkoko wake mpya

Capture21Johari akiwa na mkoko wake mpya

Usisahau kulike and share pia unatupata facebook .  swahili movies .com
pia follow us instagram  swahilimovies