Jokate mwegelo akubali wema sepetu ni mke mkubwa

diamondDiamond Platnum

kwa mda mrefu Divas wawii ambao walikuwa na ugomvi baada ya kutembea na  mwanaume mmoja ,mwanamziki maarufu wa Tanzania Diamond Platnum ,  na kupelekea Wema Sepetu na Jokate Mwegelo   kuwa na ugomvi kwa mda  hatimaye wamekiri wao wenyewe kuwa kwa sasa wameshatatua matatizo yao na hayo yameonyeshwa katika show ya muziki iliyofanyika mjini Arusha Tanzania , ambapo Jokate alipanda stejini na kumtunza Wema , ikiwa pamoja na kumwita mke mkubwa angalia na sikiliza mwenyewe kwenye IN MY SHOES ya WEMA SEPETU

Screen Shot 2014-01-13 at 20.15.46Wema sepetu ama mke mkubwa

1661913_1385404615056608_1021964716_nJokate Mwegelo

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more