Msanii Mt. Number one ambaye asili yake ni Burundi ila kwa sasa yuko Marekani, ameachia wake Mpya uitwao Photo na anasema wimbo wake ni mzuri sana na kila aonaye video yake ataupenda na hatochoka kuutazama.
Wimbo huu ambao unazungumzia mapenzi, Mt. Number one ameusifia sana huo wimbo wake na kusema ni moja kati ya nyimbo zitakazofanya vizuri.
Bofya hapa kuutazama kisha toa comment yako
https://www.youtube.com/watch?v=thz4TAyijPU&feature=youtu.be
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more