Tukiongea na Mkurugenzi wa NGG FILM PRODUCTION na ALEX MEDIA PRODUCTION zilipo nchini Holland amesema kuwa kwanza wanawashukuru mashabiki wao wengi kwa kuipenda na kuikubali filamu yao ya kwanza ya WHY FACEBOOK pamoja na kuinunua kopi za filamu hiyo sasa amewataka mashabiki wao wakae mkao wa kula kwani kimya chao kingi walikuwa jikoni wakipika filamu mpya inayoitwa MY BROTHER
Kwa Ufupi ni Filamu inayohusu maisha ya dada na kaka waliokuwa wakiishi pamoja bila wazazi wao, na kufikia kipindi Kijana huyo anatoswa na kukumbana na matatizo makubwa katika kutetea penzi lake na msaada unakuwa ni dada yake tu basi kwa haya na mengine mengiiiii kujua fatilia kujua kuhusu Filamu hii ya MY BROTHER .Alimalizia kuelezea Mkurugenzi huyo na muigizaji pia na kuwataka mashabiki wakao tayari trela ya filamu hiyo inakuja karibuni
SOURCE :here
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more