Picha za ASHLEY Toto na Dee brown Utata mtupu kiss nje nje.

Muigizaji asieisha na vituko na mwenye skendo kibao hasa za kutoka na wasanii  sasa avunja rekodi baada ya kukutwa  amepiga picha na inaesemeekana Mume wa mtu na kuzitupia katika mtandao wa kijamii Binti huyo ambaye ni muigizaji  kabla ya kutupia picha hizo inasemekana kuna tamthilia mpya ambayo ameanza kuigiza hukohuko Ujerumani sasa tumeshindwakubainisha kama picha hizi ni sehemu ya kazi yake ya uigizaji au ndio mpenzi wake mpya , licha wa mashabiki wake kumuuliza kuhusu picha hizi Muigizaji huyo akusema chochote huku minongono ikisema kuwa kujana huyo aliekuwa nae ni mume wa mtu na ni Muimbaji wa MUZIKI ,

1743527_10204473251018886_295604335650358857_n
Ashley Toto akiwa na mwanamziki Dee Brown

Hivyo kama itakuwa ni kweli wako kwenye uhusiano basi Ashley Toto atakuwa anapenda kutoka na wanamuziki ukirejeakuwa na skendo nyingi na wanamuziki kama Bob Junior , Ali kiba . Diamond na wengine wengi ambao hakujibu chochote kuhusiana na skendo hizo.

IMG_1569

IMG_1557
Ashley Toto akiwa na Dee brown wakionekanawakitaka kuepana kiss

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT : Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!