Rehema Nkalami Kuanzisha Tuzo Za Wasanii Wa Ulaya Wanaotumia Kiswahili Katika Kazi Zao.

 

10637808_10204812889141758_1027337492_n

Rehema nkalami akiwa na president wa VAD film Production

Rehema Nkalami mtangazaji maarufu wa Swahili Talk Radio Ya nchini Denmark ambayo hutangaza vipindi vyake kwa lugha ya kiswahili amepanga kuanzisha tuzo kwa ajili ya kuwapongeza wasanii wa sanaa hususani ya filamu na hata muziki katika nchi za Scandinavia ikiwemo Denmark ambapo nchi hizo zipo karibu na wasanii wake hususani wa kiafrika hufanya akzi kwa ukaribu huku wakitoa kipaumbele katika lugha ya kiswahili katika kazi zao.
Rehema ambaye ni mzaliwa wa Tanga, Tanzania amesema kuwa lengo litakuwa kutambua mchango wa wasanii hao katika kukuza sanaa ya kiafrika ughaibuni na kuitangaza Afrika.

Kupitia Swahili Talk Radio Rehema amekuwa akifanya mahojiano na kuwapromote wasanii mbalimbali ambapo wengine pia huwa wenye majina makubwa tayari kutoa Afrika ikiwemo Tanzania.

Sisi tuafikiri ni lengo zuri sana llikifanyiwa kazi. kila la kheri………….

10621813_10204812890821800_1155406877_n

10660990_10204812890381789_1287668804_n (1)

10637657_10204812888181734_985077280_n

10588792_10204812887861726_2018332196_n

Rehema Nkalami akiwa na Mr nice

10643188_10204812892381839_313860924_n (1)

Rehema Nkalami akiwa na MUIMBAJI  Rachel

10614037_10204812893261861_640290533_n

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT : Swahiliworldplanet

Tupe maoni yako hapo Chini..!!