Sasa niko fiti nimerudi kwa kishindo kwenye filamu by V.A.D Actress Apolina Solange Mahusa

 

11525_267199736772060_811266484_n

Muigizaji mkongwe wa filamu kutoka Vad avunja ukimya wa mda mrefu baada ya kutoonekana katika filamu za V.A.D Amerudi kwa nguvu zote na kuandika maneno haya katika ukurasa wake wa kijamii

10583808_735718176502132_2580789037890933085_n
Muigizaji Apolina akiwa na Mtoto wake

“Ningependa kuwaambia mashabiki wangu kuwa sasa nimerudi rasmi katika kazi yangu ya filamu , pole sana kwa mashabiki wangu najua mmenimiss sana hamjaniona kwenye filamu nyingi    zilizochezwa na kampuni yangu ya Vad film Production ,

333032_262702827137005_654261934_o
Muigizaji Apolina akiwa katika POZI

lakini sikupenda iwe hivyo ila ilinibidi nichukue likizo kwani Mungu amenibaliki mtoto , ikanibidi nipumzike ili niweze kujifungua na kupumzika kwa mda ila kwa sasa hivi niko fiti na  si mda mrefu mtaanza kuona tena kazi yangu asanteni sanakwa uvumilivu wenuna salamu zenu mlizokuwa mkinijulia hali , nawapenda sana mashabiki wangu” .Alimalizia kuongea msanii huyo mrembo mwenye makazi yake huko huko Denmark.

Angalia picha za Behind the scene za muigizaji Apolina kabla ya kupumzika kwa mda

1511005_267197910105576_520699577_n  1619227_267196633439037_1209850179_n

10690195_750380441702572_5471996308581120857_n

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!