Schoraship za uk , belgium na Hungary Watanzania mchangamke sasa Zimetoka

Schoraship za uk , belgium na Hungary Watanzania mchangamke sasa Zimetoka


Mwaka mpya na mambo mapya Schoraship za uk belgium na hungary zimeshatoka kwa wanaotaka masters na degree , phd . wahi bonyeza link hapo chini kuangalia maelezo na wapi pa kuombea . Au waweza nitafuta youtube kwa jina la Mama franjo vlogs ukacheki video na kuaply haraka deadline ni mwezi wa pili tafadhali shea na wengine ??? big lovealiandik vloger mtanzania aishie ujerumani

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

https://www.youtube.com/watch?v=gKtQj4tbJF4&t=112s

https://www.youtube.com/watch?v=Eb5kt80645Y&t=86s