Huduma mpya ya Swahili Talk Radio, wasikilizaji wetu Kuanzia Leo mwenyewe unaweza kutuma salam zako kwenye Radio. yaani wenyewe unaweza kua hewani na kujiwakilisha kwa watu unaopenda hivyo natoa wito kwa wasanii , waigizaji, waimbaji, muziki au injili. watoa mada mbalimbalia , kama una kipindi chochote na ungependa kirushwe hewani , basi usisite tupigie kwa namba hio apo chini basi utapata muda na utajitangaza vya kutosha, kuwakumbuka,unacho takiwa kufanya ni kupiga simu hii
+45 91460332 wakati ambao niko hewani utapata nafasi ya kutuma ujumbe wako. kumbuka ni namba ya lyca . karibuni sana katika huduma yetu mpya Swahili Talk Radio.
Aliongea mtangazaji wa radio hiyo Rehema Nkalami
bonyeza link hapo chini ili uweze kusikiliza interview za wasanii na mambo mbalimbali , lakini pia kuweza kutuma salamu na kuuliza maswali mbalimbali na kuchangamia mada mawasiliano- radio@africanworkhouse.dk
http://www.swahilitalkradio.listen2myradio.com/
Mtangazaji Rehema Amir Nkalami akiwa studio ya swahili talk radio denmark