Tag Archives: Diamond Platnum

VAD Waja na filamu mpya iliotengenezwa Tanzania na Denmark iliojaa mastaa kibao wa europe na scandinavia

VAD Denmark inawaletea movie mpya kabisa MAISHA YA NDOTONI
MAISHA YA NDOTONI utakutana na wasanii  wako maarufu kabisa toka DENMARK,  GERMANY NA TANZANIA.
Wasani waliomo kutana na DEVOTHA ALFRED, SAFI HAPPY, TATU DANIEL MUSA, JUSTIN ZAWADI, RITTA ZONGWE, SELEMBE TOKO, KAY MUSABAHA, RIZOS BABINGWA, MUYALE KAMITATU OLIVIE, RICHARD Muyale na wasani wengi kutoka TANZANIA…

 

 

MAISHA YA NDOTONI ni movie yenye visa tofauti ndani yake utapata matatizo za familia, uchungu ya mzazi kwa familia yake, udanganyifu ya vijana kutaka maisha bora kwa Haraka, mapenzi , furaha na mengi zaidi.

 

 

 

 

Follow us on FACEBOOK swahili movies.com a and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Tupe maoni yako hapo Chini..!!

Zari amejifungua? Diamond aandika ujumbe huu instagram akielekea SA akiwa na Mama yake

Diamond Platnumz weekend hii amepost picha instagram akiwa safarini na Mama yake kuelekea Afrika Kusini huku kwenye picha hiyo akiwa ameandika ujumbe ambao unaonyesha huwenda mpenzi wake Zari amejifungua.

Zr

Mapema mwezi uliopita katika hatua za kujiandaa na mapokezi ya mtoto huyo, Zari alifanya baby shower nchini Afrika Kusini na kuwashirikisha marafiki zake na watu wa karibu.

Jumapili hii Diamond akiwa safarini na mama yake kwenda Afrika Kusini, ameandika :

Na mama Chibu D Chibu De … flying to our new Second home, South africa For my New Born… #MiniMe #ChibuJunior #YoungSimba #YoungLion Ungependa nimpe jinangani eti??

Zari atakapojifungua atakuwa ni mtoto wake wa pili na Diamond. Pia atakuwa mtoto wake wa tano kwa ujumla bonyeza video kuangalia wakielekea wodini.

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Tupe maoni yako hapo Chini..!