Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye show ya mkali Ommy Dimpozi kutoka Tanzania , na The black anayeishi Holland, kutokana na show kali waliyopiga mshahabiki wameonekena kufurahishwa na show hiyo ya msanii huyo Ommy Dimpozi hasa ukizingatia kuwa kila kitu kilikuwa on time na kudai kuwa siku nyingine atakapokuwa na show Holland lazima wajitokeze kwani hakukuwa na ubabaishaji na waimbaji hao walipanda kwenye steji on time bila kuchelewa kama inavyokuwa kwa wasanii wengine,
Angalia hapa picha za performance here.
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :Here
Tupe maoni yako hapo Chini..!!