Vee jay awaletea ngoma ya valentine day bonyeza hapa

  • Naishi New York na Mziki nilianza mwaka 2011 . Muziki na fanya katikakundi la The D.R.C Mc boyz .kiukweli Mziki unalipa ila ninacho itaji nimaendeleo .kwasasa Sponser wangu ni Self Kuwa .Ambae ni producer wangu ndani ya Lab Ya Ukweli records

    Kilicho nifanya ni anze Mziki ni Talent niliokua nayo yakuimba ku dance na kuhandika Mistari .

     

    1653920_653950797997755_37455839_nmwanamziki Valentin Juma aka vee jay

  • Nime towa Album yangu yakwanza inayo itwa Love More . Na fanya Mziki wa Hip Hop Bongo flavor na Mziki Ambao nikona tumikia sasa ivi ni ” Nimechoka” ..Jina la Music ni V’ee Jay Too Cool

    1624335_656332994426202_2058260716_nmwanamziki Valentin Juma aka vee jay

  • Pia Nimechoka Ningoma ambayo ita toka kwenye Valentine’s Day .

    nawashukurusana Mashabiki wangu kwa ushirikiano mwema nawazidi kufatilia mambo yangu maana nina mengi ninayowahandalia . Nafanya mziki kwamapenzi yao .Pia On Valentine’s day nawatolean wimbo mpya yawa pendanao Duniani pote

    1616413_656332857759549_1049163870_nmwanamziki Valentin Juma aka vee jay

    http://www.youtube.com/watch?v=cwye59ReV2o

    Usisahau kulike and share pia unatupata facebook .  swahili movies .com
    pia follow us instagram  swahilimovies