WEMA SEPETU ASEMA MKE WA MBOWE NDIYE ALIYE SAMBAZA MAZUNGUMZO YAKE NA MBOWE

Msanii wa Bongo Muvi WEMA SEPETU amejibu kile kinachoendelea Kusambaa Mitandaoni juu ya Mazungumzo yake na Mwenyekiti Wa CHADEMA MBOWE, Huku akisema Sauti hiyo imetoka kwa Mwenyekiti wake, pia akidai Mke au Mpenzi wa Mwenyekiti wake ndiye amehusika Kusambaza clip hiyo.