Wema Unaikumbuka Hii…Je Amtake Radhi Zari?

wema_sepetu789

Baada ya Andiko lake la hapo jana akielezea machungu anayoyapata kwa kutokuweza kupata mtoto japokuwa anatamani huku akiwataka watu waache kumsema vibaya kwani yote hayo ni mipango ya Mugu, Mwanadada Wema amekumbushwa  kule alichomfanyia mwanadada Zarinah Hassani kwa kitendo chake cha kushiriki kukejeli ujauzito wa mwanadada huyo.

“Girl so you know that it hurts to say hash words towards another human being I thought you never knew DO YOU REMEMBER THIS WORDS —PREGNANT MY FOOT that was a very hash word to say to a human who is caring a creature in her womb try to fear God and he will deliver your needs..” mmoja alikomenti kwenye andiko hilo la Wema.

Siku za nyuma kidogo mwanadada Wema alishiriki kukashifu ujauzito wa mwanadada Zari aliopewa na Diamond ambae alikuwa ni mpenzi wa Wema, kwa kubandika picha mtandaoni ya Zari ikiwa na maneno  “Mimba My Foot”  (icheki hapo juu). Maneno ambayo sio ya kiungwana kabisa.

Japo kuwa Zari alitumia busara kubwa kumjibu, je unafikiri ni wakati sasa wa Wema kumtaka radhi Zari kwa kile alichomtendea?

Mzee wa Ubuyu

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT : Bongo movies

Tupe maoni yako hapo Chini..!!