OSTAZ JUMA: WASANII, MABLOGGER NA WATANGAZAJI WA REDIO NJAA SANA, MTAKUFA, PESA ZANGU ZINAWAFANYA MNITETEMEKEE

Ostaz Juma ameendelea kuongezea petroli kwenye moto aliouwasha jana. Na sasa amewaamkia wasanii na watangazaji wote wa redio nchini  Tanzania akisema njaa inawasumbua na ndio maana wamekuwa wakimsujudia..

1622836_814001798614314_914692368_n

Hiki ndicho alichokiandika
Naona watu mmeguswa sana mimi kuanika Picha za PNC katika mitandao et, tatizo wasanii wa Tanzania mnanjaa sana kuanzia watangazaji Radio na wasanii njaa ndio zinazo wasumbua.
Hata mkisema napata pesa kwa utapeli mitandaoni sawa ila ndio pesa zangu na ndio zinawafanya

mnitetemekee na kunitaja kwenye vinyimbo vyenu visivyokua na ubora. Sawa mimi tapeli naibia watu hilo sikatai nakubali mimi tapeli ila imekuaje msanii wenu kaja kunipigia magoti?


Wasanii wa bongo njaa sana na mtakufa na njaa zenu. Acheni muendelee kunyonywa kwa ujinga wenu shule mmezikimbia tatizo. Mnaniona mimi mbaya kuweka picha Za PNC zimewauma sana eeh. Hahahahahahahahahah pesa inaongea hata mseme nini.

credit : Bongo5

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

“Ni kweli nipo na Diamond, napenda wanaume weusi” – Wema Sepetu

Mwanadada Wema Sepetu ambaye pia aliwahi kuwa Miss Tanzania 2006 ambaye kwa sasa anaendesha kampuni yake binafsi iitwayo Endless Fame inayojishughulisha zaidi na utengenezaji wa Filamu mbalimbali.

wema6Wema sepetu na Diamond Platnum

Kupitia kipindi cha Leo tena February 28 Wema Sepetu amekubali kutaja sifa za mwanaume anayempenda kuwa na mvuto kwake,swali lililoulizwa na Watangazaji wa kipindi hicho ni kuhusu mwanaume wa sifa gani anayedhani anaweza kuolewa nae ambapo Wema alijibu “Kuolewa sio shida je huyo mwanaume nampenda,maana naweza kuja kuchumbiwa lakini nisimpende”

diamondDiamond Platnum Mpenzi wa Wema sepetu

 “Mimi nampenda Mwanaume mweusi,wanaume weupe sio kwamba sijawahi kuwa nao lakini nakuwa sina mzuka nao”.

Alipoulizwa kuhusu uhusiano wake na Diamond amekiri kwa kusema’Kweli niko na Nasib – Diamond na nadhani muda huu kutakua na utulivu ndani yake,ule utoto tuliokua tunafanya nadhani ulikua utoto na imekua Power Couple toka mwaka 2010 kwa hiyo tuna  miaka 4 sasa,kwa sasa tumeamua kuwa serious’.

Wema Sepetu pia kaandamana na Ant Ezekiel kwenye interview ya kipindi hicho kinachorushwa na Clouds Fm.

 CREDIT : Habari kwa Hisani ya Millard Ayo

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more