JAMAA AFUNGA NDOA NA MBWA BONYEZA HAPA

Ukisikia maajabu ya Musa ndio haya, jamaa mmoja nchini marekani katika jiji la San Francisco ameamua kufunga ndoa na mbwa, kama unavyowaona hapo pichani. Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Chapel of Our Lady at the Presidio. Bwana harusi anajulikana kwa jina la Paul Horner na bibi harusi anaitwa Mac (Mbwa). Baada ya ndoa hiyo Kasisi aliyefungisha ndoa hiyo alihojiwa na kusema kuwa bwana harusi ana furaha ya ajabu sana kwani alikuwa akionekana anatabasamu kila mara. Wasiwasi wangu ni kwamba  ‘watafanyaje tendo la ndoa?’ na Je wakiweza kufanya watapataje watoto? na kama wakipata watakuwa wamefanana na nani? Hahahahahaha.

dog-marriage Sijui wewe mdau wa swahili movies una maoni gani funguka hapa chini.

Usisahau kulike and share pia unatupata facebook .  swahili movies .com
pia follow us instagram  swahilimovies

V.A.D FILM PRODUCTION NA MAJASIRI PRODUCTION BONYEZA HAPA KUJUA UKWELI

       THE TRUTH WILL ALWAYS COME OUT is a  short film by V.A.D film Productions , iliyopo Denmark In association with  Majasiri Productions  iliyoko Holand  wamekuletea filamu fupi kali inayomuongelea mchungaji fake …….. na wahusika katika filamu hiyo ni Sallai Fatakid ,Kay Msabaha ,Selembe Toko , Rosette Sallai , Gilbert Fataki -,Anniepetra Sijtsma ,Richard Muyale,  na Director  Jay Msabaha hii ni kazi nzuri iliyotolewa mapema mwanzoni mwaka huu wa 2014 na kuonyesha kuwa mwaka huu washabiki wajiandae kupata kazi nyingi nzuri kutoka kampuni hizi zinazofanya vizuri nchini ulaya , america na africa kwa ujumla  angalia picha za behind the scene za upigaji wa filamu hiyo ni chini upate filamu hiyo1480536_794004557292159_1783944869_nRichard Muyale kushoto sallai majasiri  Director  Jay Msabaha na msaanii machachari selembe toko kulia

1061593_436982639768997_1432867420_nAnniepetra Sijtsma  kushoto , selembe toko fake pastor  na kay msabaha behind the scene

1608882_436982626435665_509318390_nSallai Fatakid  Mchungaji akimuombea mtu mwenye pepo  Gilbert Fatakid  on action

1056806_436982586435669_708382709_nRosette Sallai akiwa on set

1779608_436982656435662_1725961468_nselembe toko on set1608855_436982593102335_1367382817_nAnniepetra Sijtsma

1608773_436982623102332_1660602897_nSalai fatakid na Rosette Sallai wakiwa kwenye scene ya maombi

https://www.youtube.com/watch?v=Fkfv1fUiglc#t=270

Usisahau kulike and share pia unatupata facebook .  swahili movies .com
pia follow us instagram  swahilimovies