Actor Gilbert : My plan is to make people laugh

1492893_679983612032530_698881611_nMfahamu msanii mtanashati na tishio kwa wasanii wa kiume wengi ulaya  si tu kwa utanashati bali hata kwa uwezo wake wa kuigiza  kwa umahili wa hali ya juuu aliouonyesha si tu kwenye filamu yake ya kwanza bali hata kwenye filamu ya pili aliyocheza kama mtu mwenye mashetani sugu , swahili movies ilipata nafasi ya kusikia machache kutoka kutoka kwake , msikilize

1470458_679983625365862_861989377_nGilbert fatakid wa katikati akiwa shooting

 Only startedacting last year 2013. I am only a seed i haven’t started growing yet, and my most motivation is my Big brother Sallai he’s the reason why am acting.i knew if i could act but i wasn’t sure of trying. About my family i have five brothers ‘n four sisters huge family huh! My plan is, if i have a chance that i hope i am going to get, is to make people laugh hard cause i am very sensitive to people’s pain, instead of hearing people mourn i prefer watching them laughing hard.  And that my plan! thank you, GOD BLESS all and my fun

1073238_607180132646212_1702229784_oGilbert fatakid wa kwanza kushoto akiwa shooting

One thing i forget! i have acted only in two movies (Mwanzo wa mwisho ) na( The Truth will always come out) the third is not out yet we are still busy with it.

1743343_436982629768998_1782622481_n

                 Gilbert Fatakid kulia na kushoto Sallai wakiwa kwenye shooting

1658669_554745941306839_729561221_oGilbert Fatakid akiwa kwenye pozi

1904076_545307178917382_771354036_nGilbert Fatakid akiwa kwenye pozi

click the link below to watch lattest film done by Gilbert Fatakid

https://www.youtube.com/watch?v=Fkfv1fUiglc

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Namshukuru Marehemu Kanumba kwa kuniingiza kwenye game ya film: sanura Jafari

Mfahamu msanii chipukizi kutoka voice of Africa in Denmark , V.A.D film production  Sanura Jafari Mtanzania anayeishi Denmark Copenhagen , msanii anayefanya vizuri kwenye movie ya Nimuamini Nani ambayo tayari trailer yake imeshatoka bonyeza link kuangalia kazi yake pia anapatikana kwenye film ya young bilionea aliyocheza na Marehemu steven Kanumba na mastar wengine wa Tanzania , kujua mengi kuhusu yeye ungana nami.

http://www.youtube.com/watch?v=yeSeZBfEOq0

936655_150962851748820_591069916_n

 sikiliza mengi kupitia Interview aliyofanya na Umoja Radio NGG  Holland part one and part two

1383169_216193758559062_100712312_nActress sanura jafari

892281_144699925708446_2133593115_oActress sanura jafari na  Marehemu Kanumba

1461910_413347642132497_434563866_nDirector Jay , Devotha actress, sanura jafari na president  wa VAD safari lukeka

1503643_413351712132090_1602417330_n

1477003_413346012132660_1627578694_n

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more