Dr. Cheni alishwa sumu, Lulu achanganyikiwa, Soma stori nzima ilivyokuwa hapa.

Dr_cheni
Dr cheni

 

Katika hali ya kushangaza na isiyo eleweka mwigizaji Mahsein Awadhi maarufu kama Dr. Cheni amekumbwa na balaa la kulishwa chakula chenye sumu weekend iliyopita alipokuwa kwenye sherehe moja ya harusi jijini Dar es Salaam alipohudhuria kama MC au mshereheshaji wa harusi hiyo.

Akiongea na bongo movies leo asubuhi, Dr. cheni alisema kuwa baada ya kumaliza kula chakula ambacho alipakuliwa na mmoja wa wahudumu wa sherehe hiyo alianza kujisikia vibaya na kuishiwa nguvu na aliamua kutoka nje kujaribu kupata hewa akidhani ladba ni joto la ukumbini ila hali ilizidi kuwa mbaya na aliamua kutafuta maziwa akihisi labda inaweza kuwa vidonda vya tumbo ndipo alipoanza kutapika na baadae kukumbizwa hospitalini na ndipo alipogungulika kuwa amelishwa chakula chenye sumu.

Tulipomuuliza labda sababu gani anahisi zinaweza kuwa zimepelekea watu hao kutaka kumdhuru alisema kuwa, mpaka sasa hajaweza kupata jibu kamili ila anaamini watu waliofanya hivyo wanamfahamu na wana nia mbaya sana kwake na sio watu wema.

Dr. Cheni alisema kuwa kwa sasa hali yake inaendelea vizuri na moja ya watu walikuwa wa kwanza kufika hospitalini baada ya yeye kupatwa na majanga hayo ni mwigizaji Elizabeth Michael (LULU) ambaye kwa sasa yupo karibu sana na Dr. Cheni aliyekuwa mstari wa mbele katika kushughulikia mpaka kufanikisha suala la dhamana ya kesi iliyokuwa inamkabili mwanadada huyo.

Pole sana Dr. Cheni.

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT : Bongo movies

Tupe maoni yako hapo Chini..!!

 

Namkubali sana Diamond na Jaguar licha Mimi kuwa Mnaijeria

10446481_657327271023058_3290563408475482179_n

kwa  jina anaitwa SLIMM PIZZLE  ni mnaijeria na anaishi MUNICH GERMANY  kwa wale wakazi wa Munich hakika watakua si wageni wa jina hili la Slimm au promise jina lake halisi ni PROMISE

Ni  mwanamziki chipukizi anayefanya vizuri si tu kwa nyimbo zake bali hata anapokuwa stejini . pia  ni mpenzi sana wa nyimbo za East Afrika , na tulipoojiana nae alisema alijisikia furaha sana kupata nafasi ya kuperform kwa kufungua show  ya  JAGUAR  kwani anamkubali sana Jaguar kwa nyimbo zake matata kwenye steji moja pia alisema anamkubali sana  Diamond na kupitia  MY number one kolabo la Diamond na Davido wa Nigeria  ameweza kufatilia mziki wa East Afrika nakujua Mengi sana kuhusu Muziki huo wa East Afrika  angalia picha zake na chini bonyeza kuona performance yake ndani ya Munich

 

10426830_656926171063168_5344959693727005496_n(1)

IMG_9468 IMG_9487  10334470_656927577729694_1693412229916083682_n 10414883_656926711063114_8438584854645564101_n 10455207_656927191063066_7494135140523253921_n 10306467_656926901063095_6767270540768669816_n(2)

https://www.youtube.com/watch?v=60Gzpc9X7oY&feature=youtu.be

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT : here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!