Monthly Archives: July 2014

Aunt Ezekiel: Filamu hazilipi.Sapoti ya waume au wapenzi ndio inasaidia.

 

10501651_905523109462182_7997062673432426657_n

STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko la filamu limeharibika.

“Filamu kwa Tanzania hakuna soko, walau wanaume, si wanawake, huwezi kunilinganisha mimi na Ray… Mimi kama si kuwa mwanamke, sidhani kama leo hii bado ningekuwepo katika filamu, kwa sababu kwa kiasi kikubwa nategemea sapoti ya wadau wangu, si mauzo ya filamu,” alisema.

Aunt alisema tatizo jingine katika soko la filamu nchini, ni wasanii kutopendana hali ambayo inashusha tasnia kila kukicha. Kwamba wangekuwa na mshikamano, wangeweza kufanya kitu cha kuwasaidia katika kuiboresha.

“Umoja ndiyo kila kitu hata kama tutakuwa hatuna hela, lakini tukikaa watu wengi kujadili kitu fulani, tutajua tufanye nini, hata kimawazo tu tutaendelea,” alisema

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Bongo movies .com

Tupe maoni yako hapo Chini..!!

Angalia Mapokezi ya solomoni Mukubwa na Ratiba ya show yake ya kwanza Denmark hapa

Muimbaji mkubwa wa injili wa Afrika  Mashariki Mchungaji Solomon Mukubwa  tayari ametua nchini jana  tarehe  23  . natarehe 27  ni ibada ya kwanza na yeye  kwenye kanisa la Holy International Christian Ministries Denmark (HICMDK).

kwa ajili ya Ibada pamoja na Tamasha kubwa la kusifu na kuabudu  huku mamia  ya watu wakialikwa ,  Akiandika haya kwa furaha kubwa ya kumpokea Muimbaji huyo Mchungaji  Kapinga Dieudonné Mushagalusa aliandika hayo hapo chini .

Our  first service with him Will be today  Sunday 27th, July 2014 from  13:30 to 15:30.
This will be a free sunday for all. Come and test this supernatural anointing, and you will no longer remain the same.

 

1619094_523401161127144_7921303084516406158_n2 10370353_523401801127080_3883469780018506686_n2 10300510_523401651127095_1945412811424069974_n2 10387566_523402057793721_1318035054572175636_n1 10410781_523401494460444_2408751292239892605_n1 10561573_523402261127034_8332059420511396831_n1 10300510_523401651127095_1945412811424069974_n2

Angalia hapa alichokisema Solomoni Mukubwa

 

Super concert with Salomon Mukubwa
Lørdag d.  02/08 2014 kl. 17:00  i Tønder
AND PASTOR CONCLUDE BY GIVING OUT THE ADRESS  WICH IS    Haderslevvej 6, 6200 Åbenrå.
https://www.youtube.com/watch?v=OiZn4MR9xm4#t=42
The church Holy International Christian Ministries Denmark presents a Super Concert with a Powerful man of God Pastor Salomon Siaka Mukubwa” from Nairobi/Kenya 
  “August 2014″
Friday 01″ Saturday 02″ and Sunday 03″ “All in one ticket”
 
Children under 12 years old are free.
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!