Tamasha la DIAMOND Germany , chupa zatawala, Ambulance polisi waja kutuliza ghasia DIAMOND afunguka mazito

 Tamasha la Diamond Platnum  lililofanyika jana ukumbi wa maonyesho Sindelfingen Stuttgart  laingia kitimtim baada ya mashabiki kufanya fujo za hali ya juu ikiwa ni pamoja na kurusha chupa , iliopeleka watu kuumia , hali ya ya sintofahamu imetokea baada ya mashabiki kumsubiria Diamond  apande stejini kwa mda mrefu lakini kinyume na matarajio yao na kupelekea Mwanamziki huyo kufika ukumbini saa kumi alfajini ,
kitendo hicho kilipelekea mashabiki wakasilike na kuanza kufanya fujo za hali ya juu, na kupelekea polisi wafike eneo hilo kwa haraka ili kutuliza ghasia na kuweza kumuokoa mwanamziki huyo , pia magari sba aya ambulance yalifikwa kwa haraka kusaidia majeruhi zaidi ya kumi na nane waliokuwa wameumia ikiwa pamoja na ma DJ wa tamasha hilo ,
pia upotevu wa vitu mbalimbali kama Computer na vitu vingi katika fujo hizo , ilipelekea mashabiki kuwalalamikia waandaaji wa tamasha hilo kwa kitendo walichokifanya , na wengi mpaka sasa wakidai japo warudishiwe pesa zao kwani si haki watu kusafiri kutoka nchimbalimbali kwa ajiri ya kumsapoti msanii wao harafu washindwe kumuona na hata kupaform Aliongea shabiki wa Diamond. Mpaka sasa haijajulikana waandaaji wa TAMASHA HILO WAKO WAPI KWANI HAKUNA HATA MMOJA ALIEPATIKANA:

10653333_793167994038350_7501835282016887425_n

Daimond akiwa Germany

10395185_4458054825471_7821352065614627588_n(1) 10354801_4458055905498_2527263710844821902_n 10395185_4458054825471_7821352065614627588_n 10615500_4458056265507_3366925270193336136_n 10648396_772171622846043_3616381554225916976_o 10523967_4458057305533_4838195893157012749_n 10534608_4458055065477_3486746157230440034_n

Diamond nae hakukaa kimya alikuwa na haya ya kusema

kiukweli nimesikitishwa sana na uandaaji wa kampuni hii ya BRITTS EVENTS iliyoandaa show ya Stuttgart Germany… kinachoniuma na kunisikitisha zaidi ni jins watu walivyoamua kujitolea kuja kutusupport vijana wao kwa wingi, halaf mwisho wa siku promoter anatupeleka wasanii kwenye show saa kumi alfajiri… najua ni kiasi gani mmeumia na kuwa disappointed… lakini naomba mtambue kuwa halikuwa ni kosa langu, coz mimi ni mgeni tu, na nafata maelekezo ya promoter…hivyo nisingeweza kujiamulia kuja muda ninaoutaka mimi…

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT : HERE

Tupe maoni yako hapo Chini..!!

 

Diamond kutingisha Ujerumani Tena , Essen 29 na Stutgart 30 Augs pata tiketi yako sasa

Diamond kutingisha tena Ujerumani , 29-8 atakuwa  ESSEN na 30-8 atakuwa STUTGART wale wapenzi wa Daimond kazi kwenu kuwai kujipatia Ticket bila kuchelewa

GERMANY ARE YOU READY???
TICKETS ARE ON SALE NOW!!!!!!!! GO GRAB YOURS NOW….CALL +4915217521062……. 29TH Aug 2014 “ESSEN” & 30TH Aug “STUTTGART” 《sexy lady will Dance with @diamondplatnumz Live on Stage》

10547675_757718634276325_1448074445101557425_n

Facts That Needs To Be Known!!!
1, Diamond Live In Essen
2, Friday 29 Aug 2014 and 30 in stutgart
3, Tickets On Sales Now
4, We Will Soon Sale-out
5, You Will Pay More At Gate
6, DJ Nature Will Be Live
7, DJ Pokus Will Be Live
8, DJ Princesses Flor Will Be Live
9, DJ Osman Will Be Live
10, And There Will Be A Lot Of Nice Looking Sisters!!!

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT : HERE

Tupe maoni yako hapo Chini..!!