Watch the entire “TERROR AT THE MALL” documentary, which weaves together footage from over 100 CCTV cameras from the mall and witness accounts on the September 21, 2013 terrorist attack of the Westgate Mall in Nairobi. The siege left 71people dead.
The one-hour long documentary was put together by British filmmaker Dan Reed and aired on HBO and BBC channels.
http://www.youtube.com/watch?v=IL7epiOrBRk
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
Huyu ndio muigizaji anaeongoza kwa kupigilia pamba katika swahili movies europe na kauli hii imetolewa na baadhi ya mashabiki wake ambao wameshindwa kuvumilia na kuamua kumpa pongezi mwanadada huyu mrembo ,naimai kila atakayeona hizi baadhi ya picha zake atakubaliana na mashabiki wa mwanadada huyu,
Blandine wakengo ni Muigizaji mwenye asili ya Kongo ambaye anaishi nchini Holland , ni muigizaji katika kampuni ya NGG fILM Production kwa wapenzi wa europe swahili movies hili jina sio geni kwao kutokana na filamu ambazo amecheza , kama TATIZO MKE WA KAKA; UMZANIAE NDIO KUMBE SIYO ,
MWANZO WA MWISHO NA WHY FACEBOOK Ambazo zote hizo amecheza kama kinara wa filamu hizo zinazopatikana youtube na kinachomuongezea mvuto ni umahiri wake wa kuongea kiswahili fasaha kwenye filamu zake licha ya kuwa yeye ni mkongo Angalia baadhi ya picha zake na trailer ya filamu yao mpya ya WHY FACEBOOK.
Hii ni moja ya filamu aliocheza Mrembo huyu BLANDINE WAKENGO
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :here
Tupe maoni yako hapo Chini..!!
Subscribe youtube DEVOTHA MEDIA
To change your privacy setting, e.g. granting or withdrawing consent, click here:
Settings