Angalia hapa Filamu za 2014 zilizofanyika na kampuni hizi. Twaleb Entertainment , V.A.D film Production, NGG Production , T.A.O Films , Devotha Media,JDP Production, Big jj film production and Mausa stars

Tujikumbushe Tulikotoka vifuatazo ni baadhi trela  za Filamu na Tamthilia ambazo zilizofanyika katika kampuni mbalimbali za Filamu za nchi za Ulaya na scandinavia kwa ujumla kwa mwaka 2014,  kama ulikuwa bado hujaziangalia basi tumia muda huu kuangalia kazi hizo , na kujiandaa kuangalia kazi nyingi kwa mwaka 2015

 

AFRICAN BOY Film From   Twaleb Entertainment – Film Production( Denmark )

SORRY MY WIFE Film  FROM   VAD FILM PRODUCTION ( Denmark )

NIMWAMINI NANI  Film FROM   VAD FILM PRODUCTION ( Denmark )

WHY FACEBOOK Film from NGG fILM production(  Holland Netherland )

NO FEAR Film From Big jj Film Production (Denmark, Ghana )

CHOZI LANGU Film from  Tao-Films Production (Denmark) and( NGG Film Production Holland)

TWIN SISTERS Film From  JDP Production (Norway)

https://www.youtube.com/watch?v=G9r-v_BS_g4

 

 

SELLING MY SOUL DRAMA From Devotha Media (Germany)

https://www.youtube.com/watch?v=LoBEoYLTxuo
TATIZO MKE WA KAKA Film from Mausa stars production (Denmark)

UMZANIAE NDIE KUMBE SIYE Film From NGG Film Production (Holland )

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!

10868036_766381640117620_1548054758951152492_n

 

Shilole Amchukua Yule Binti Alietoroka Kwao Kwa Sababu ya Kulazimishwa Kuolewa

 

wema_sepetu765 - Kopie

“Jaman kwa wale mbao leo mmeskiza leo tena ya clouds fm na  milipata kuskia story ya huyu binti hapa kwenye picha!

Kuwa ametoroka kwao Tanga kuja Dar kwa sababu ya kulazimishwa kuolewa akiwa na umri mdogo kiukweli niliposkia hivyo ikaniuma sana nikiwa kama mwanamke kama pia nikaona bora nimchukue mpaka hapo familiya yake itapoMua kujitokeza mm ni moja wapo ya changanoto nying nilizozipita nilipokuwa igunga watoto wadogo kubakwa kupewa mimba wakiwa wadogo na hamna sheria yeyote inayochukuliwA huko vijijin zaid ya kumalizana kifamily! Ili jambo la wasichana kuolewa wakiwa wadogo hata shule hawajamaliza linanikera mnoooo mnooo jamani dah! !

Hivi nyie naomba serikali itiemkazo jambo hili watu wenye tabia kama hizo hatua kali za kisheria zichukuriwe. Bint anaitwa upendo kiukweli anaupendo tup nae hapa anafuraha zote! Mm nikimuangalia ni sawa na bint yangu yaani ni kadogo kabisa dah! Nimejjifikia angewezaje kuishi na mume kwa umri pendo anatakiwa asome ili baadae elim yake imsaidie! Mm napinga ukeketaji wa watoto. Ubakwaji kwa watoto. Mimba katika umri mdogo. Na utoaj mimba.

Je ww???????

Imeletwa kwenu kwa hisani ya shishibaby”-Shilole alimaliza.

Pongezi kwa Shilole kwa moyo uliouonyesha kwenye jambo hili, Mungu akuongezee

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Bongo Movies

Tupe maoni yako hapo Chini..!!