Actress Beth afanyiwa bonge la suprize siku ya kuzaliwa kwake angalia hapa

Zimepita siku mbili sasa, baada ya msanii wa kundi la filamu NGG-Production nchini Holland Bethlehem Zelalem kwa jina maharufu Betty kusherekea sherehe ya kuzaliwa kwake. Msanii huyo ambaye mume wake ndiye rais wa kundi hilo, alipatwa na mshangao wa furaha baada ya baadhi ya wasanii wenzake kumletea keki na vinywaji nyumbani kwake na kusherekea naye kwa pamoja siku ya kuzaliwa kwake.

10978517_595597217208910_388588529148999407_n

Timu ya Umoja Radio ilikutana na msanii huyo ana kwa ana ilikuhuliza namna alivyoandaa sherehe yake bila kujulisha watu wengine pamoja na Umoja Radio. Tulipo muhuliza alikuwa na haya machache ya kusema: ” Mimi mwenyewe sikutegemea sababu mpango wa kuhandaa sherehe sikukuwa nao labda watu wengine wanaweza kusema kwamba nimeandaa sherehe bila kuwahalika, hapana, hata mimi ilikuwa surprise kwangu kuona wanakundi wenzangu kuja nyumbani kwangu na kunifanyia kidogo waliyokuwa nayo kama ishara ya upendo. Nimewashukuru sana kwa kitendo walichokifanya sababu ni upendo uliyo mwingi kati yao kwangu na ndiyo maana wakahamua kunifanyia hivyo. Mungu awabariki”. Alisema Betty

Hapa chini mi baadhi ya picha za tukio

1537917_595596750542290_2177283474463406521_o

 

1801294_595596567208975_3586547757550927874_o 10258518_595596840542281_2131013491020774821_o 10480587_595596787208953_2099260364327859883_o 10943759_595596587208973_6367039139537113733_o 10945908_595596673875631_2484286853655805448_o   10981082_595596720542293_4605638273657720324_o 10887636_595596693875629_5510475322956565551_o 10866097_595596880542277_1300647533209411386_o

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :   Umoja radio

Tupe maoni yako hapo Chini..!!

 

 

Ile dvd ya concert ya Solomon Mukubwa imeshatoka soma hapa jinsi ya kuipata

Ile DVD  ya Concert   injili ya Muimbaji Solomon Mkubwa iliyofanywa nchini Denmark chini ya kampuni ya Filamu ya V.A.D Film Production  iliyokuwa  inasubiriwa tayari imeshatoka mapema wiki iliyopita  na hii ndio kava ya Albamu hiyo pamoja na anuani ya jinsi ya kuweza kuinunua   DVD  hiyo:

10385489_1041391339210812_5914474614679021314_n

Solomon Mukubwa akiwa na baadhi ya wenyeji wake alipokuiwa DENMARK Pia akiwa na waigizaji wa VAD FILM PRODUCTION

10568963_10204554132843958_7073488758602567461_n10577624_528910733909520_5019065_n10387566_523402057793721_1318035054572175636_n1

1619094_523401161127144_7921303084516406158_n2

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :   Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!