Wema Unaikumbuka Hii…Je Amtake Radhi Zari?

wema_sepetu789

Baada ya Andiko lake la hapo jana akielezea machungu anayoyapata kwa kutokuweza kupata mtoto japokuwa anatamani huku akiwataka watu waache kumsema vibaya kwani yote hayo ni mipango ya Mugu, Mwanadada Wema amekumbushwa  kule alichomfanyia mwanadada Zarinah Hassani kwa kitendo chake cha kushiriki kukejeli ujauzito wa mwanadada huyo.

“Girl so you know that it hurts to say hash words towards another human being I thought you never knew DO YOU REMEMBER THIS WORDS —PREGNANT MY FOOT that was a very hash word to say to a human who is caring a creature in her womb try to fear God and he will deliver your needs..” mmoja alikomenti kwenye andiko hilo la Wema.

Siku za nyuma kidogo mwanadada Wema alishiriki kukashifu ujauzito wa mwanadada Zari aliopewa na Diamond ambae alikuwa ni mpenzi wa Wema, kwa kubandika picha mtandaoni ya Zari ikiwa na maneno  “Mimba My Foot”  (icheki hapo juu). Maneno ambayo sio ya kiungwana kabisa.

Japo kuwa Zari alitumia busara kubwa kumjibu, je unafikiri ni wakati sasa wa Wema kumtaka radhi Zari kwa kile alichomtendea?

Mzee wa Ubuyu

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT : Bongo movies

Tupe maoni yako hapo Chini..!!

 

V.A.D Film Production waja na Tamthilia MPYA ya MAWENGE Icheki hapa

V.A.D Danmark imekuletea Tamthilia  mpya MAWENGE,  iliochezwa na wasanii machachali  kama  Selembe Toko, Tatu Daniel, Safi Happy na wengineo wengi fatilia sehemu ya kwanza ya tamthilia hii ya MAWENGE ; Chini ya Director JAY MSABAHA NA Editor  ALY DEX LULINDA

13426_462855600539805_7887215556696260654_n 1908156_462855660539799_3654594855329170983_n 10644492_884859481574829_9021641204562991870_n 10429841_884859541574823_8130377085949765800_n 11013020_462855743873124_2033451985411260651_n 11057843_462855683873130_2273668045863839412_n 11091321_462855590539806_6354537827664570456_n

11150213_462855697206462_7610683440561145343_n

bonyeza hapa kuangalia Tamthia kamili

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT : Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!