Hatimaye Kampunii ya filamu ya SONGA MEDIA GROUP inayofanya filamu zake nchini marekani kwa lugha ya kiingereza na kiswahili wanakuja tena na fiilamu mpya inayojulikana kwa DEADLY HUNT .
Director wa kampuni hiyo siam J Manuel akiiongea alisema filamu hii itakuwa tofauti sana kwani ni filamu inayozungumzia mauaji ya albino yaliokisili Africa hasa nchini Tanzania na kuwataka mashabiki wajiandae kujifunza lakini pia wajitaidi kuisambaza kusudi watu wengi waweze kuungana nao kupiga vita mauaji haya ya albino kwa mila potofu za kupata utajiri, pia wamejaa wakali wako waliocheza MURMUR na PAID N FULL Wameshiriki katika filamu hiyo.
Izi ni baadhi ya picha ya behind the scene full movie coming soon
SOURCE :here
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
Tupe maoni yako hapo Chini..!!