AWARD WINING ACTOR BIG JJ Kuzindua filamu yake mpya ATLANTA marekani

Mkali wa filamu scandinavia na ulaya kwa ujumla Muigizaji na mkurugenzi wa kampuni ya Big JJ FILM PRO , Big jj Olenga  baada ya kujinyakulia tuzo siku chache zilizopita huko NORWAY  sasa ameandaa filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la  PROBLEMS EVERYWHERE Ambayo ameifanya na wasanii wa marekani na kupanga kuizindua filamu hiyo ATLANTA Nchini  Marekani , na kuwataka mashabiki wake wajiandae kwani filamu hiyo ni moto wa kuotea mbali .

11960046_10203420059701671_7802695318068377830_n
hii ndio cover ya filamu hiyo mpya ya PROBLEM EVERYWHERE

Nyota huyo alionga,a kwenye filamu   mbalimbali kama  APRILS FOOL, NO FEAR aliowashirikisha wakali kutoka ghana ,TRY ME IF YOU CAN,BROTHER  AND SISTERS, KILL OR BE KILLED na nyenginezo nyingiiiii. Angalia picha za behind the scene za filamu hiyo

11987211_10203420061941727_7111563066409891960_n

10383662_10203420061541717_8865021012104479397_n

11059887_10203420063621769_3064596056726158796_n

11181282_609610432514541_2156355296246541981_n   11781614_609610365847881_7612546129027661520_n(1)

 

hizi ndio picha za big jj akiwa norway kwenye tuzo

Big jj akiwa na tuzo yake kwa furaha

11921893_850991151616452_2280636099909455272_n

 

11951929_850736594975241_5442092897908944444_n

11873786_850736654975235_2435560183480529859_n

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Tupe maoni yako hapo Chini..!!

MTANGAZAJI TIBA DINAS AJA NA TV SHOW YAKE MPYA ANGALIA HAPA BAADHI YA VIPINDI HIVYO

Mwanadada machachali Tiba Dinas baada ya kimya cha mda mrefu katika kazi zake za utangazaji sasa amekuja kwa kasi na show yake mpya inayoitwa TIBA SHOW

Mtangazaji TIBA DINAS kwenye pozi mbalimbali

11817025_810240625763056_5978354569723798399_n

Ambayo anatumia kuwahoji wasanii wa fani mbalimbali , mwanadada huyo mrembo  mwenye makazi yake Denmark amewataka mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani sasa ni muda wa kazi na tayari ameachia  vipindi kadhaa vya mahojiano na baadhi ya wasanii wa  FILAMU wa VAD FILM  PRODUCTION kuweza kuona angalia show hizo hapo chini 11180320_792401277546991_7346289234462848140_n

11412255_781185885335197_111214131969350070_n

bonyeza hapo chini kuangalia show hizi

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Tupe maoni yako hapo Chini..!!