Haaya wale wapenzi wa Music leo tunawaletea ngoma kali kutoka kwa mwanamuziki Mudy Kibiriti inayokwenda kwa jina la PESA KWANZA MAPENZI BAADAE ; Ambayo kwa mara ya kwanza itaonyeshwa leo saa mbili usiku katika television ya EAST Africa pia waweza kucheki hapa chini kwa youtube , bila kusahau waweza kusuport kwa kulike nyimbo hiyo coment au kushare enjoy. Pia waweza mfolow facebook na insta kwa jina la Mudykibirity
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more