DIRECTOR : RICHARD Bezuidenhout PRODUCER: Episcopere Emmanuel STORY WRITTEN BY Episcopere Emmanuel AND SCRIPT WRITEN BY RICHARD Bezuidenhout LOCATION : CANADA LANGUAGE: swahili CASTING :Lilian , Tina , Mzee Capucino, Richard Bezuidenhout ;Episcopere Emmanuel Na wengineo Mashabiki mkae mkao wa kula coming soon . Mwandishi wa kitabu cha maisha ya Muigizaji marehemu Steven Kanumba( A great fallen Tree) , Episcopere Emmanuel mwenye makazi yake nchini Canada ameamua kuingia kwenye uwanja wa fiamu kwa kuja na filamu yake ya kwanza inayouitwa MCHUMBA SIO ATM MACHINE
Ambayo amemshirikisha muigizaji Richard Bezuidenhout ambaye alikuwa mshindi wa big brother Africa nae alietumbukia kwenye fani ya uigizaji tanzania
filamu hiyo inayochezewa nchini Canada inashutiwa kwa kiwango cha hali ya juu chini ya kampuni ya mwandishi huyo na muigizaji huyo Episcopere Emmanuel ikiwa na baadhi ya waigizaji kama yeye mwenyewe ,Episcopere, Lilian ,tina , Richard and mzee capucino…coming soon. zifuatazo ni picha za behind the scene za upigaji picha wa filamu hiyo ili kuendelea kujua mengi kuhusu filamu hii na lini itatoka endelea kufatilia habari zetu.
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
Tupe maoni yako hapo Chini..!!