Msanii wa muziki the black anawakaribisha mashabiki wake wote kwa mara ya kwanza ataperform stage moja na mchekeshaji kutoka tanzania Kingwendu siku ya kusherehekea uhuru wa nchi ya Kenya nchini germany tarehe 12 december .i kiwa ni mara ya kwanza kwa msaanii huyo mwenye makazi yake holland kuperform ujerumani basi amawataka mashabiki wake wasikose angalia hapo chini kuona venue ya shughuli hiyo
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more