Icheki hapa filamu mpya ya TAMAA kutoka V.A.d film production waliomshirikisha Mc twaleeb

Wakali wa filamu nchini scandinavia waja ´na filamu mpya ya TAMAA   iliochezwa na wasanii mahili  kama Tantine mussa , Clarice Safi, Safari Lukeka ,Ester Msabaha , Onorata Frank, Frank Salumu ,Adija Thomas ,na huku wakimshirikisha mkurugenzi na muigizaji wa kampuni ya Twaleeb Entertainment bwana Mc Twaleb.

14409927_685321964959833_3881998065797701337_o

Frank salum on set

14425446_685322134959816_8420417212050993319_o

Mc twaleb on set

14409913_685321758293187_8328707987182953157_o

Tatu and safari on set

14324681_685321818293181_8137283028724550964_o

ester msabaha on set

14380051_685321298293233_3101004890436510096_o

safi happy on set

14372025_685322148293148_1173801849725014747_o

14425446_685321761626520_5208379587386161292_o

14425372_685321824959847_4878097875451949382_o

Bonyeza hapo kucheki filamu kamili bila kusahau kulike share  coment and  subscribe kwenye vad youtube chanel.

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Tupe maoni yako hapo Chini..!!

Zari amejifungua? Diamond aandika ujumbe huu instagram akielekea SA akiwa na Mama yake

Diamond Platnumz weekend hii amepost picha instagram akiwa safarini na Mama yake kuelekea Afrika Kusini huku kwenye picha hiyo akiwa ameandika ujumbe ambao unaonyesha huwenda mpenzi wake Zari amejifungua.

Zr

Mapema mwezi uliopita katika hatua za kujiandaa na mapokezi ya mtoto huyo, Zari alifanya baby shower nchini Afrika Kusini na kuwashirikisha marafiki zake na watu wa karibu.

Jumapili hii Diamond akiwa safarini na mama yake kwenda Afrika Kusini, ameandika :

Na mama Chibu D Chibu De … flying to our new Second home, South africa For my New Born… #MiniMe #ChibuJunior #YoungSimba #YoungLion Ungependa nimpe jinangani eti??

Zari atakapojifungua atakuwa ni mtoto wake wa pili na Diamond. Pia atakuwa mtoto wake wa tano kwa ujumla bonyeza video kuangalia wakielekea wodini.

https://www.youtube.com/watch?v=xoRXg2gU9A8

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Tupe maoni yako hapo Chini..!