Rapa G.A.Mc aja na wimbo wa I wanna be with you , Asema atafurahi akipata kolabo na Diamond Platnumz

Rapa mtanzania   Geofrey McLaughlin  (  G.A.Mc)anaeishiDenmark amesema kuwa kimya chake cha mda mrefu ni kuwa alikuwa busy sana, kwani alikuwa Tanzania akifanya network na wasanii wahuko kwa ajili ya nyimbo zake zijazo lakini ameongeza kuwa atafurahi sana akifanikiwa kufanya kolabo moja na Diamond platnum , akaongeza kuwa licha ya Diamond kuwa msanii mkubwa lakini ni mtu ambaye ni mbunifu na kuutangaza vizuri muziki wa Tanzania hivyo ndio sabaabu kubwa angependa kufanya kolabo nae ,

kwa sasa nimeshafanya nyimbo nyingi zinakuja ila leo nawaalika kuicheki ngoma yangu mpya inaitwa Iwanna be with you  msishau ku subscribe kwenye youtube channel yangu  hapo chini

16105813_10210203573939513_2629030719767693576_n

Geofrey akiwa na msanii young kiler tanzania

18156855_10211112861271128_8296667189054148822_n

Geofrey akiwa na Barnaba

18156993_10211138870481342_7380506903531921659_n

Geofrey akiwa na Bob junior tanzania

17991680_10211112846030747_3468879588595672647_o

Geofrey akiwa na sheta

13443068_10208293774395718_7161762912499488010_o

Geofrey akiwa na Diamond PLATNUM

13325701_10208231285153526_3524157721633388015_n 13512213_10208377143239887_4681684136657879724_n 13015608_10207960097053993_2169514988507741769_n 14915452_10209475137209050_1759322824572908921_n WhatsApp Image 2017-05-05 at 17.55.09

WhatsApp Image 2017-05-05 at 17.55.08

Geofrey akiwa na MSANII Ruby Tanzania