KISA ELFU 70, RAV 4, IDRISS AMCHEFUA MOBETO MITANDAONI!

KIMENUKA Mitandaoni! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema, kufuatia sakata la mshindi wa Big Brother Africa ‘BBA’ mwaka 2014, Idris Sultan, ambaye kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, aliandika ujumbe kwa mzazi mwenziye mwanamitindo, Hamisa Mobeto, wa kumshauri kuhusiana na Rav 4 aliyomzawadia mwanamitindo huyo, pamoja na gharama za matumizi.

idrisi alimuandikia diamond hivi ikiwa ni ndogo kwa hamisa mobeto

HAMISA AKAJIBU LEO IDRIS KWAUCHUNGU

IDRISI AKAJIBU TENA KWA KUOMBA MSAMAHA KWA WANAWAKE WOTE HIVI

“””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””
Karibuni sana wapendwa KILLANDA COMPANY tunauza bidhaa mbalimbali
-Bidhaa zetu zinapatikana supermarkets na Shopping centres D’salaam.

bidhaa zetu ni kama ifuatavyo

Almond
Dry grapes (ZABIBU KAVU)
Pumpkin seeds (MBEGU ZA MABOGA)
Rosella
Dagaa Bukoka
Ubuyu wa Zanzibar.

Kwa kutoa order yako au ukihitaji kuipata bidhaa zetu Jirani na ulipo.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi
Simu no
0713156855/0659090684