jina langu ni jackson Gumbala jina la designs ni Gumbala Ubunifu
Jackson Gumbala akiwa ndani ya vazi alilolidesign
UMEANZA LINI KAZI HIZI ZA UBUNIFU
nilianza ku design tangu primary , secondary , hata sasa chuo kikuu, mwaka wa mwisho sasa wa tatu, nimefanya fashion show nyingi siwezi kuzimaliza, lakini nimefanya show kama swahili fashion week 2011 , lady in red 2012, redds unifashion bash 2011 , Kanga za kale 2013,
Jackson Gumbala akiwa anawaandaa wacheza shoo wa Mrisho Mpoto
Jackson Gumbala na Mrisho mpoto
Jackson Gumbala akiwa na mmoja model
baadhi ya nguo alizodesign Jackson Gumbala
Jackson Gumbala akiwa na stara Thomas akionyesha nguo aliyodesign kwa ajiri ya Raisi wa Tanzania
Tanzania top model 2013, Miss higher learning 2013, miss tanzania 2013, Miss and Mr. TIA 2013, miss Ustawi wa jamii 2013.redds unifashion bash 2013,open stage at GOETH 2013.nimesha wadizainia watu wengi kama banana zoro , lady jay dee,Mwenyekiti wa Basata, na katibu mkuu mtendaji Basata nawengine wengi kwani kazi yangu si tu kuonyesha bali mtu yeyote anayependa anaweza nitafuta nikamdizainia , nguo aina yoyote.
Usisahau kulike and share pia unatupata facebook . swahili movies .com
pia follow us instagram swahilimovies