Actor Alex atoa onyo kwa wasichana wanaomsumbua kumtaka kimapenzi

1534719_656770227697675_554776188_o Actor Alex Bikorimana

Raisi na muigizaji wa NGG ya holland ameonekana kuchoshwa na wasichana wanaomsumbua kimapenzi katika mitandao ya kijamii , tulipomuuliza , alisema ni kweli kitendo hiki sasa kimekuwa too much kwani wasichana hawa wanafahamu kuwa mimi sio single nina mke na watoto na nimejitaidi kuwaonya inboy lakini bado ni wasumbufu wassichana hao ambao  ambao wapo sehemu mbalimbali ila hapa ulaya ndio wengi zaidi wamezidi kunisumbua sana , mimi nina mke jamani nimechoka ” , kitendo hicho kilionekana kumkela sana President huyo wa NGG na kuaidi endapo wasichana hao wataendelea basi si tu kuwataja bali atatoa na picha zao ili kuwakomesha kwa vitendo vyao visivyo na heshima kwake na kwa ndoa yake

“Hi girls please  stop sending me love mesage coz I’m not a single, I have wife and child so I really love and respect my family, the next time I will publishing those mesages  and pictures   I’m so tired!”

1891227_684742088233822_1395453948_nActor Alex Bikorimana akiwa na mkewe Beth ambaye pia ni muigizaji

1383667_695097217198309_1261414065_nAlex na familia yake

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more