kwa muda mwingi kumekuwa na maneno ya chini chini kuwa waigizaji wa filamu Devotha ( Aliyetambulika kwenye PASSPORT LOVE FILM) na Ashley Toto( Aliyetambulika kwenye Moyo wangu FILM )haziivi , yani hawaongei, na stori hizi si tu chini ya kapeti bali zimesambaa nchi mbalimbali za ulaya , pasipo kujulikana chanzo ni wapi au ukweli uko wapi.
Lakini Licha ya siku za awari waigizaji hao kupambanishwa kuwa nani mkali katika tasnia ya maigizo na interview waliyowai kufanyiwa wote kwa nyakati tofauti , bado kumebaki na urakini juu ya kuwepo kwa urafiki au uhadui kati ya waigizaji hao , na hasa kitendo cha mashabiki wa filamu kupenda zaidi kuona watu hawaelewani , ,ila siku za karibuni waigizaji hao wameonekana kuachia Tamthilia yao mpya ya SELLING MY SOUL chini ya kampuni ya DEVOTHA MEDIA , lakini japo wamefanya kazi hiyo mpya , hakuna picha hata moja ambayo wasanii hao wamepiga wakiwa pamoja , kuonyesha uhusiano wao
hayo na Mengine Mengi basi jiunge leo saa tano kamili usiku 23:00 USIKU KWENYE LINK HII HAPA http://swahilitalkradio.listen2myradio.com/ YA SWAHILI TALK RADIO. ushuudie wasanii hao watakapowekwa kiti moto na Mtangazaji wako Rehema Nkalami katika kipindi cha Hakuna Kulala pia na kutoa yao yotee ya moyoni katika redio hiyo ya nchini denmark
Basi kwa kutaka kujua haya na mengi kuhusiana na hiyo Tamthiklia na mengi kuhusiana na waigizaji hao pia kama una maswali hujachelewa sikiliza link hapa chini pia tembelea facebook page ya waigizaji hao Devotha Media au yaSwahili Talk Radio KUULIZA MASWALI YAKO PIA UNAWEZA KUPIGA SIMU KIPINDI KIKIANZA NA KUULIZA SWALI LOLOTE http://swahilitalkradio.listen2myradio.com/
Hizi ndi o picha za Behind the scene NA TRELA YATmathilia hiyo ya SELLING MY SOUL
Hii ndio trela ya tamthilia yao mpya ya SELLING MY SOUL
https://www.youtube.com/watch?v=LoBEoYLTxuo#t=172
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :Here
Tupe maoni yako hapo Chini..!!