Kiukweli mi sio mtu wa kupaka mafuta watu au kusifia sifia kwa uongo,ila naweza kusifia alafu nikamfata mtu inbox nikamwambia makosa yoooote ya kwenye movie yake.ila hii trailer ya African boy ni balaa sana.yaani Abou na Lucy Komba wamefanya kweli.
hizi ndio casting za movie hii ya African Boy
ukija shooting ,editing na voice over ambazo movie inaanza anaelezea da kama holywood kweli hiyo movie yenyewe itakuwa balaa, nafikiri watengeneza filamu ulaya wamepata mfano wa kuiga sasa na si kukulupuka ” ALISEMA SHABIKI WA MOVIE HIYO BAADA YAKUCHEKI TRAILER YA AFRICAN BOY.
Abou Twaleb akiwa na cameraman na Editor wake Denmark
Twaleb Entertainment inayomilikiwa na Mtanzania Abou Hermis Twaleb anayeishi Copenhagen Denmark . kwa mara ya kwanza imetoa teaser ya movie ambayo kwa sasa imeshakamilika hatua zote kilichobaki ni hatua za mwisho tu kuingia sokoni, angalia picha za wasanii walioshiriki na trela ya movie hiyo inayotazamwa na mamia ya watu kutokana kuwa na ubora wa hali ya juu.
Abou Twaleb mkurugenzi na muigizaji
Jean claud na Rachel Scarp ambaye ni Muigizaji na Muimbaji wa nyimbo za Injili
bonyeza link kuangalia trailer ya Afican boy
http://www.youtube.com/
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more